mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,335
- 9,286
Mkuu unanitia presha kwake nimefunga breck ujueUmesema nguo za “dukani”
Imanaana anazo ila sio za dukan
Na anavimbiwa
Na unadai anakunyima unyuma
Ina maana pakulala pia papo.
Hapa tuki evaluate inaonekana kuna ka mjamaa kanasugua cd
Njoo naye ofisiniWiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Maswali yako ni magumu sana.Ngoja niperuzi kwenye encyclopedia Britannica kama hutatua hadi maswali ya ndanibdani kwenye vitongoji mkuu.Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Kwamba mke aliye naye ampandishe cheo hadi awe admiral/chief of staff?Dawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie
Ha ha ha ha😀😃😄😁.Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?