NGUVU NDOGO NI IPI
JF-Expert Member
- Jul 13, 2019
- 909
- 1,046
Basi mvumilie na hata ukumkuta anasuguliwa ma kijebe msameheMbadala mwenyew ninae basi!! mwisho kuongeza matatizo nikimbiwe mimi wakati hela sina ya kupata mwingine
Basi mvumilie na hata ukumkuta anasuguliwa ma kijebe msameheMbadala mwenyew ninae basi!! mwisho kuongeza matatizo nikimbiwe mimi wakati hela sina ya kupata mwingine
Kazi kwako mleta mada, ushindwe mwenyewe kwenye umaliziaji tu mkuu....😋 huyuhapa kesha jielekeza kibla....🤗mwambie hivi 🎶Yupo mbadala wako usinyanyue mabega mpendwa, Mungu anao watu wengi🎶
Hi mentality ya kijinga sana, je huyu akifa?Mbadala mwenyew ninae basi!! mwisho kuongeza matatizo nikimbiwe mimi wakati hela sina ya kupata mwingine
umemaliza kila kituDawa ya mwanamke ni mwanamke mwenzie
utani wa ngumi huu mkuuKazi kwako mleta mada, ushindwe mwenyewe kwenye umaliziaji tu mkuu....😋 huyuhapa kesha jielekeza kibla....🤗
Mlipofunga ndoa mliambiwa kuwa " tendo liheshimiwe", ni msingi wa kila kitu, ni kama chakula. Kazi ya uumbaji inaanzia pale.Ila kuwe na maelewano.Pole sana
Pied Piper.Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?