Mkuu 😂😂 umenifanya niwaze nje ya box
Huu ujinga wanaume huwa tunawapa wanawake nguvu ambazo kimsingi hawana.
Mpige wiki 40 bila kumgusa uone.
Kwenye uchumi (sorry to be so crass with this example, but there is a point here) bei hutokana na nguvu za demand and supply.
Unavyozidisha demand ya kitu, kukihitaji, ndiyo thamani na bei yake inavyopanda.
Kwa hivyo wewe unavyoomba omba kila mara, ndiyo yeye anaona thamani ya hicho kitu ni kikubwa na anaweza kukupangia.
Ukizidi kupotezea hata yeye mwenyewe ataanza kujiuliza, hivi huyu siku hizi mbona haulizii? Anapata wapi? Au kuna mwenzangu huko? Atajiongeza.
Na pengine yeye mwenyewe anaweza kushikwa hamu.
Ila pia, kuna uwezekano hana hamu, anachoka sana, amefika umri fulani, ukimuacha ndiyo anafurahi, anaona umeacha kumghasi.
Au labda kakuchoka wewe, ukimuacha anaweza kufurahi akaangalia mpango mwingine.
Nikisikia mwanamme analalamika kubaniwa na mke wake sielewi malalamiko ya mwanamme.
Mwanamke anatakiwa kufurahia mwanamme wake kumtaka.
Akikataa baada ya wiki 1, usimguse wiki 10, akikataa baada ya wiki 4, usimguse wiki 40.
Ni mwendo brutal tu.