AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Hapo kwa Baba yako na mama yako unaishi na dada yako na bwana wake na wewe unaishi na mkeo sio? Oya NakubusuKwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Kwa kila wiki nne anazo ku block, wewe mblock wiki arobaini halafu muangalie ataishije na yeye.Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Huu ujinga wanaume huwa tunawapa wanawake nguvu ambazo kimsingi hawana.Mkuu 😂😂 umenifanya niwaze nje ya box
Pole,inakera sana hawajuu kuwa matokeo yake ukitoka nje kiu ya wanawake inakutesa siku nzima,na usipokuwa makini unaweza kujikuta umeangukia uzinzi...Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Shukrani mkuuHuu ujinga wanaume huwa tunawapa wanawake nguvu ambazo kimsingi hawana.
Mpige wiki 40 bila kumgusa uone.
Kwenye uchumi (sorry to be so crass with this example, but there is a point here) bei hutokana na nguvu za demand and supply.
Unavyozidisha demand ya kitu, kukihitaji, ndiyo thamani na bei yake inavyopanda.
Kwa hivyo wewe unavyoomba omba kila mara, ndiyo yeye anaona thamani ya hicho kitu ni kikubwa na anaweza kukupangia.
Ukizidi kupotezea hata yeye mwenyewe ataanza kujiuliza, hivi huyu siku hizi mbona haulizii? Anapata wapi? Au kuna mwenzangu huko? Atajiongeza.
Na pengine yeye mwenyewe anaweza kushikwa hamu.
Ila pia, kuna uwezekano hana hamu, anachoka sana, amefika umri fulani, ukimuacha ndiyo anafurahi, anaona umeacha kumghasi.
Au labda kakuchoka wewe, ukimuacha anaweza kufurahi akaangalia mpango mwingine.
Nikisikia mwanamme analalamika kubaniwa na mke wake sielewi malalamiko ya mwanamme.
Mwanamke anatakiwa kufurahia mwanamme wake kumtaka.
Akikataa baada ya wiki 1, usimguse wiki 10, akikataa baada ya wiki 4, usimguse wiki 40.
Ni mwendo brutal tu.
Unamaanisha kunyetuka mkuu?Halafu watu walio kwenye ndoa wakichukua sheria mkononi.
Niliandika kupiga nyeto nikaona itifaki ya tafsida izingatiwe.Unamaanisha kunyetuka mkuu?
Basi sawa mkuu kwa kuutambua huu mchezo wetu pendwa.Niliandika kupiga nyeto nikaona itifaki ya tafsida izingatiwe.
Na wewe umepigwa ribbit mkuu?Basi sawa mkuu kwa kuutambua huu mchezo wetu pendwa.
Sawa kabisamwambie hivi 🎶Yupo mbadala wako usinyanyue mabega mpendwa, Mungu anao watu wengi🎶
Huduma za matunzo unatoaWiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu
Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui
Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Unamuharibu mwenzio,nyeto haifai ndugu zangu mtaambiwa mpaka lini, wanawake wote hawa na unakula nyetoKula nyeto tu asikuvimbie