Wife ameanza kunipangia ratiba za unyumba

Wiki nne sasa zimepita bilabila kila nikiomba mchezo naishia kupewa makavu

Kwamba simuhudumii ukicheki ni kweli nina mwaka nguo za dukani hazijui

Ila anavimbiwa fresh sijui nijieleze vipi na hela sina?
Na wewe mpangie
 
Kiufupi unapigiwa mkeo duuh pole sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…