Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

dr namugari

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
10,466
Reaction score
18,206
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
 
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana


Hakuna jibu la moja kwa moja, anauza sababu ni muitaji, kipato chako hakitoshi, pia kuna risky ya yeye kuuza Juice mtaani.

Vijana, tafuteni hela, haya maisha siyo mepesi, na kama hazitoshi msioe haraka na kuzaa.
 
Back
Top Bottom