Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Halafu hivi kuna mtu anaogopa kuchapiwa siku hizi, maana sidhani kama kuna mwanamke mtaakaa miaka na miaka asionje nje? Hili likae kwa kila mwanaume wanawake wanachepuka sana tu ni vile mume unakuwa hujui .
Hilo Ni sawaa
 
Siyo kupiga tuu marufuku alafu ukae kimnya ,Tena ikiwezekana hayo ma vyombo yake anayouzia juice ya tupe na juice imwage kabisa utakuja nishukuru baadae
Sawaa mkuu alfu eti akimaliza huyo mbionyuko sokoni kwemda kuhemea matunda mengine kweli kipato hakitisho
 
Back
Top Bottom