Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Mwanamke mwenye akili anajichunga mwenyewe kuuza juice sio sababu eti utapigiwa anaweza akawa anakaa ndani na unapigiwa kila siku, Kama mtu Malaya ni Malaya tu haijalishi anafanya shughuli zake wapi
 
Km unamuamini na yeye ni mwaminifu muache apige kaz
Ila km huna imani nae na yeye mwenyewe haeleweki kiakili bas mtaftie kaz nyingne
Kla mtaa uwa kuna centa so tafta kibanda centa ya mtaa muwekee biashara na km vp mnunulie na keni awe anauza juice zake apo km huna pesa ww ni mfanyakaz unakopesheka kopa kulinda familia
 
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Itategemea na malengo yako kama unampango wa kumpoteza mwache aendelee ndo njia rahis ya kumpoteza
 
Itategemea na malengo yako kama unampango wa kumpoteza mwache aendelee ndo njia rahis ya kumpoteza
Tuache kuwaona wanawake kuwa ni wadhaifu wapenda ngono, kwani anayekuja nyumbani kwako kumuuzia mchicha hawezi kujenga mahusiano naye! Akitaka atalala nae kitandani kwako.
 
Back
Top Bottom