Inside10
JF-Expert Member
- May 20, 2011
- 29,909
- 32,414
Kataza mara 1 mtafutie binti wa kumuuzia anamkabidhi lita kadhaa..Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!
Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Nimewatafuna sana wauza juice tena akinivutia nilikuwa nanunua dumu lote la lita5..(kwasasa nimeacha baada ya kuoa)