Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Kataza mara 1 mtafutie binti wa kumuuzia anamkabidhi lita kadhaa..
Nimewatafuna sana wauza juice tena akinivutia nilikuwa nanunua dumu lote la lita5..(kwasasa nimeacha baada ya kuoa)
 
Mwanamke yeyote akianza fanya biashara za kutembeza jua lazima ataliwa na yeye huwa bidhaa kubwa kuliko hata hiyo bidhaa anayotembeza.Atakutana na watu kibao ambao wana sifa anazozipenda yatamshinda
 
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.

Anauzia mitaa gani mkuu, nataka nikushauri kulingana na nature ya mtaa husika ulivyo

wacha kuogopa weka mikakati ya elim ya kujitambua tu
 
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
kuna wajinga wataagiza wapelekewe ndani shughuli itaanzia hapo.wengine wataomba namba kabisaaa
 
Usipige marufuku Bali mtafutie njia yakuiza hiyo juice ..mpe hata kijana/vijana wasambaze
 
Huyo mwanamke ameanza kujitambua.Mpe hongera zake na muongezee friza la heavyduty ili juice iwe inapoa kwa haraka.Akiwa ni wa hovyo hata kama akishinda nyumbani bado atapata muda wa kifanya uzinzi tuu
Angalau hata wewe uko positive.
 
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.
Mruhusu kwani familia yako itapata umaarufu, pia mboga mlizokuwa hamnunui kama vile maini na samaki sasa zitatawala meza.
 
Hapo anakusaidia maisha maana kuna sehemu unayumba na hataki akupe pressure......JIONGEZE....Ila jiandae na njia kubwa kwenye sehemu zake ..........maana kama ni mrembo kweli lazima aongezewe njia ile kuu
 
Sikushauri hata kidogo. Ibilisi atapita hapo hapo hawa wanawake ni mama zetu ila bwana akili zao wanazijua wenyewe. Yanini kujiingiza kwenye hatari? Kama we ni mwalimu huyo mkeo mtafutie biashara ya hapo hapo nyumbani haya mambo ya kwenda kutembeza sijui uji na juice utakuja kulia huku mtaani kuna wanaume hawakubaligi kushindwa shauri yako mchawi pesa tu.
 
Asnte kwa ushauri
 
Back
Top Bottom