Ushawahi kuona juisi moja ya 500/= inanunuliwa kwa 10,000/= halafu mteja anamwambia, "Kuwa na amani baki na chenji haina shida"
Ila nikutie moyo, kama mke wako ni mtu wa kukitembeza, hata umuweke ndani bado atagawa tu na kama anajiheshimu atakaza.
Tuje kwenye swali la kizushi, unafikiri kwa tabia ya mkeo akifuatwa na vijana wa hovyo 10 ataweza kukaza kwa hao wote?
Ushauri wangu mruhusu tu kufanya biashara ila muwekee mipaka, isije ukagongewa hodi usiku saa 2 au 3 umetulia na familia yako halafu vijana wanamuulizia mkeo, wanataka juisi.