Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Kama anauzia maeneo haya
Site (kwenye ujenzi)
Garage
Site za kutengeneza tofali, welding
Ndugu yangu umeishaa
 
Hiyo nyumba ninyetu zote
Wacha nikuambie ukweli mtaani kwenu unaonekana una Roho mbayaa.Yaan Ndio pichainayoonekana huko.
Walau akoeshe hata vitenge juice ?Acha hizo mzee.

Mpende mkeo,mlipie kikoba, mnunulie nguo stop mkeo kuzurula na juice streets.Watu wanasema mke wa mwalimu flan.
 
Kuna wanawake wengi wafanyabiashara ndogo ndogo wanajiheshimu sana kama hapend uhuni hata uwe na ushawishi kiasi Gani huwez kumla na Kuna wanawake hawajiheshimu hata umfungie ndani watamla tu akiwa humo humo ndani.

Sijui mke wako Yuko kundi Gani kati ya hayo
 
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya
atauza sana juice zote zitaisha na wata-download za chini
 
Cha muhimu hapo kuchagua ugongewe nyumbani ukiwa umeenda job au ugongewe akiwa kaenda kuuza juice. Chagua yenye afadhali kwasababu atagongwa tu.
 
Kama anauzia maeneo haya
Site (kwenye ujenzi)
Garage
Site za kutengeneza tofali, welding
Ndugu yangu umeishaa
Nimefanya uchunguzi nimegundua kote huko anapota na huku kuna maujenzi sana
 
Kumpata mwanamke anayeuza juice ni rahisi Kama kumsukuma mlevi. Kila siku hakikisha unakwenda kununua juice ukiwa na noti ya elfu kumi, alianza kuhangaika kutafuta chenji mwambie una haraka hiyo chenji amnunulie mtoto pipi.
Fanya hivyo Mara tano, mwenyewe ataanza kujichekesha kila akikuona.
 
Umeingia waswasi wa bure tu
Lakini pia kuna mambo ukikaa na kutawaza basi yatakupa shida tu
Muhimu achana nayo kisha jenga maisha
Ikiwa wakupigwa atapigwa tu.
 
Umeingia waswasi wa bure tu
Lakini pia kuna mambo ukikaa na kutawaza basi yatakupa shida tu
Muhimu achana nayo kisha jenga maisha
Ikiwa wakupigwa atapigwa tu.
Point kubwa
 
Kuna wanawake wengi wafanyabiashara ndogo ndogo wanajiheshimu sana kama hapend uhuni hata uwe na ushawishi kiasi Gani huwez kumla na Kuna wanawake hawajiheshimu hata umfungie ndani watamla tu akiwa humo humo ndani.

Sijui mke wako Yuko kundi Gani kati ya hayo
Decent mlokole
 
Wacha nikuambie ukweli mtaani kwenu unaonekana una Roho mbayaa.Yaan Ndio pichainayoonekana huko.
Walau akoeshe hata vitenge juice ?Acha hizo mzee.

Mpende mkeo,mlipie kikoba, mnunulie nguo stop mkeo kuzurula na juice streets.Watu wanasema mke wa mwalimu flan.
Acha tu mkuuu inaniuma snaayaani
 
Back
Top Bottom