Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Mboreshee mazingira yake ya uuzaji juisi, mpangishie kifrem ubavu hata cha 70 utanshukuru baadae maadam kaamua mwenyewe maana yake huyo ni fighter mpe motivation kuna siku utakuja kumwagia sifa.
Sawaa nitazungumza nae
 
Ukimkataza watakulalua ma malkia wa nguvu!
Cha kufanya ni kutenga bajet ya dumu lake kila akitoka unamtuma mtu ananunua lote, anarud zizini bila hiyana!
Wouiii😂😂😂😂
 
Kama wa kupigwa atapigwa tu hata akiwa na ofisi, mda wa kufata matunda anapitia huko anapigwa na kuongezewa mtaji.
Kama anajitambua na kujiheshimu wala usiwe na presha.

Note: wanawake ni viumbe dhaifu sana, halafu wajanja wajanja sana,hasa akiwa anakujua mume nje ndani😅🙆‍♂️
Noted mku
 
Sa na wewe uliendaje kuoa mwanamke mrembo mwenye wowowo wakati hela huna? Huoni haya ni matatizo ya kujitakia..?
Hapn mkuu wowo limeanza kuota akiwa kwangu mm tuna mtoto mmoja had sasa
 
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya
Kuna kipindi nilikua Tanga na nimefikia lodge flani maeneo ya chuda nilikutana na Binti mmoja mzuri sana anauza bagia.
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya
Kuna mmoja Tanga Sha mnunuaga yeye na juice yake
 
Back
Top Bottom