Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

It depends eneo na nini kinauzika sana, mbona hata juice fresh tu sema asiwe yeye ndo anafuata wateja mkuu ataliwa nakwambia
Namm naamini Hilo lzma atapigwa kwa juwa hili na alivyo na wowo sijui kwa kweli
 
Kwamba unamuona tu mkeo ameanza kuuza juisi, bila ruhusa yako..... kuna kitu anauza hiyo juisi ni kava tu.
 
Mh shida ya hawa watu bwana ni WADHAIFU SANA tena ANAVUTIA 😀 Yani we mwenyewe tu unaona hapa naenda kupigwa 😀😀 sa we ukirudi leo home mwambie hivi...

Wewe huyo: Unajua mke wangu we ni fighter sana (unamvimbisha BICHWA) 😀 yani nakuelewa sana sema nini kale kampango ka kutembeza juisi kalee...kale wife subir kwanza kwasababu kuna mchongo nausikilizia wiki 2 3 hz ukikaa vizur nikufungulie kaofisi kako uwe unapika pika pale unauza juisi au sio wife 😀

Wife: Kweli baby

wewe huyo: Sasa mke wangu naanzaje kukudanganya yani AMINI YANI

ALAFU WIKI MIEZ MWAKA HAKUNA CHA OFISI 😀😀😀 Ukifosi kumzuia MTAGOMBANA wakat ww mwenyew ndo vile tena MWALIMU 😀😀

Sema nini TAFUTA ELA MWANANG Usije kumlaumu badae mtt mwenyewe MKAL 😀
 
Namm naamini Hilo lzma atapigwa kwa juwa hili na alivyo na wowo sijui kwa kweli
Kama wa kupigwa atapigwa tu hata akiwa na ofisi, mda wa kufata matunda anapitia huko anapigwa na kuongezewa mtaji.
Kama anajitambua na kujiheshimu wala usiwe na presha.

Note: wanawake ni viumbe dhaifu sana, halafu wajanja wajanja sana,hasa akiwa anakujua mume nje ndani😅🙆‍♂️
 
Kama mke wako ni namba E yaani siyo mzee nitafute nikamuunge kununua juice.mimi napenda sana juisi iliyotengenezwa na mrembo
 
Kopa mpe mkeo mtaji wa maana a fanye biashara.Au Fungua biashara aisimamie.Unafeli wapi mwalimu wewe.
 
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya
Atauza juisi ya matunda halafu atauza na juisi ya tunda, stuka usingizini.
 
Mboreshee mazingira yake ya uuzaji juisi, mpangishie kifrem ubavu hata cha 70 utanshukuru baadae maadam kaamua mwenyewe maana yake huyo ni fighter mpe motivation kuna siku utakuja kumwagia sifa.
 
Back
Top Bottom