Mkuu usituletee humu mrejesho ukilialia umegongewa na bodaboda na wabeba zege.Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x
Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze
Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana