Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Mruhusu tu kwa lengo la kuuza juice. Ukianza tu kuwaza mengine ndio na yeye anaanzia hapo hapo kufanya hayo utakayoyawaza juu yake.
 
Back
Top Bottom