Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Wife ameanza kuuza juice mtaani vipi nimruhusu au Nimpige marufuku

Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya
Tatizo ni pale akikutana na jamaa ambae atakuwa ananunua dumu zima peke yake.....yaani hata Lita ishirini yeye atakuwa ananunua yote!
Kuna rafiki yangu mmoja mkewe alikuwa anatembeza juisi,,mwishowe ndoa ilikufa baada ya mkewe kupata mteja wa uhakika!!!!
 
Kuna asilia nyingi za kubambikiziwa mtoto tukiacha asilimia nyingi zaidi za kupigiwa
 
Tatizo ni pale akikutana na jamaa ambae atakuwa ananunua dumu zima peke yake.....yaani hata Lita ushirini yeye atakuwa ananunua yote!
Kuna rafiki yangu mmoja mkewe alikuwa anatembeza juisi,,mwishowe ndoa ilikufa baada ya mkewe kupata mteja wa uhakika!!!!
Dahaha noma sna
 
Mbna jamaa wa garage hawna pesa ,lzma uwe na pesa ndio umalale mke wangu SAS kafundi garage Ana nn Cha ziada
Unajua fundi mkuu anakula mpunga kila kazi mkuu? Wewe ticha na tgs yako humkuti
 
Hahaha! Huyo akikutana na mtu atakayemuonyesha maana ya kuwa na pesa basi huna chako hapo. Niamini nikisema wanawake ni viumbe dhaifu sana kiakili na kimsimamo.

Hasa usiombee akutane na mtu mwenye nia ya kumvua chupi hata iweje.
 
Mm Kaz yangu Ni mwalimu ila hapa katka nimeamishwa shul nyingine mtaani x

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze

Mke anavutia sna napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya
Ameanza tayari sasa umruhusu vipi?
 
Teh teh mkuu sasa ungekua na mke msajilisha laini za simu mtaani si ungejiua wewe.
 
Tena akauze na apeleke juice kwa yule jirani yako unayemchukia mwenye ghorofa.
 
Kama machepere atatoka tu nje hata umfungie ndani..we mpe kauhuru kake
 
Mimi Kazi yangu Ni mwalimu ila hapa katikati nimeamishwa shule nyingine mtaani x.

Sasa namuona wife nae amenza kuuza juice kwa kutembeza mtaani nimuache au nimkataze!

Mke anavutia sana napatwa na wasi wasi sana nisije pigwa na kimbunga hidaya.

Huyo mwanamke ameanza kujitambua.Mpe hongera zake na muongezee friza la heavyduty ili juice iwe inapoa kwa haraka.Akiwa ni wa hovyo hata kama akishinda nyumbani bado atapata muda wa kifanya uzinzi tuu
 
Wanawake wanaouza Uji, Juice huwa wanaliwa sana. Kuna demu muuza Juice yaani anakuletea mpaka ghetto na ukimpa notice ya sh 5000 atajizungusha sana kukupa chenji na kama una roho ya tamaa unaweza ukapita nae. Yaani Wanawake ni pasua kichwa sana na huwa hawaeleweki nini watakacho.
 
Back
Top Bottom