Wife anataka kunigeuza sex machine

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake? Yaani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakuwa nimechoka sometimes.

Nifanyaje ili kumpunguza speed?
 
Oya,hivi kwa week inatakiwa kutiana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..
Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Sasa shida iko wapi hapo mkuu ni mkeo huyo, wewe mpelekee moto una tuangusha namna hiyo.
 
Oya,hivi kwa week inatakiwa kutiana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..
Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Nimtumie namba yake nikusaidie ndugu yangu
 
Oya,hivi kwa week inatakiwa kutiana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..
Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Kwanza umesha tambulisha kua ni "wife wako". Sio "dada ako". Anao haki na wajibu ya kudai unyumba kila atakavyo. Kama ujaweza kumridhisha . Unadhani atakwenda kwa nani kukidhi kiu yake?

Usimtese moyo wake. Kama unaodharura baci mwachie awe huru.......
 
Oya, hivi kwa week inatakiwa kutiana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?

Yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..

Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Wengine tuna lalamika hatupewi

Wewe unalinga khaa nataman nipate mke wa hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…