Wife anataka kunigeuza sex machine

Wife anataka kunigeuza sex machine

Watu tunatafuta hata wa kutia dole tu hatupati lakini wewe unamiliki kabisa "ile kitu inamesa mwesie" afu unakua mzembe hivyo..

Subiria wakulungwa waje wakuoneshe jinsi ambavyo penye miti pamepata wajenzi..
 
Oya, hivi kwa week inatakiwa kutiana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?

Yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..

Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Mmepima UKimwi na Virusi Vyake hivi karibuni?

Mkeo atakuwa amechepuka kisha akaenda kupima akakutwa kaukwaa sasa hapo kabla ya kukushauri mkapime wote anataka akupe show mpaka ahakikishe nawe angalao utakuwa umeuvagaaa.

Nenda kapime naye ghafla usije ukauwawa

cc MziziMkavu
 
Hakuna raha kama kuwa na mwanamke anaekupea muda wote na pia mchokozi wa kupea na kuwezana. Quite awesome hadi naimba kawimbo ka sijui nininani oooh manjonjo kupeana kuna raha. Naomba ifinyie kwa ndani oooh nananana.....fanya turudie tenaaa, utamu wako sindelela ni mandingo kama isidingoo....oooh nanana.....chapakati yako nooma.
 
Oya, hivi kwa week inatakiwa kutiana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?

Yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..

Nifanyaje ili kumpunguza speed?

Kazi yako ni kumpelekea Moto nonstop mpaka asiwe anakuomba, kwanza Mke wako kukuomba unatakiwa ujisikie vibaya na ufanyie kazi ilo swala haraka sana! Umeanza kulia lia we unadhani umemuoa awe ana kufulia na kukupikia! Piga kazi Dogo acha Uvivu.
 
Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?

Yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..

Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Achana naye atakupotezea muda.
 
Oya, hivi kwa week inatakiwa kugegedana mara ngapi coz naona wife anataka kunifanya kuwa sex machine yake?

Yani kila akigeuka tu anataka mpini hajui kuwa me nakua nimechoka sometimes..

Nifanyaje ili kumpunguza speed?
Asee Maisha magumu, Mungu amekataza kuazima wake, Ingekuwa kama Gari ningekuazima walau kwa mwezi mmoja au miwili hivi.
 
Back
Top Bottom