Kusema ile kweli, mimi wa kwangu alianza kama hivyo akataka kuwa yeye ndiye baba, nilijaribu kwa njia kibao za kidiplomasia kuweka mambo sawa ikawa ngumu. Bahati mbaya siku moja tu kichapo kikatembea mambo yakakaa sawa.
Sikushauri umchape lakini .......
ushauri wangu wa bure kabisa wewe ni mnywaji?
basi leo nenda kapombeke hadi late times na ukirudi home mgongee binti wa kazi akufungulie mlango ukiingia ndani akibwawaja tu mtie kibao kimoja kitakatifu. kisha mwambie hii ni trela picha inakuja. lazima atatia akili.
Unajua kwa nini nimekugongea like?
sijajua hebu niambie. halafu nimejikuta nacheka kwa sauti nilipoona notification umenilike lol!
hii kali nashauri ufate ushauri huu utakusaidiaushauri wangu wa bure kabisa wewe ni mnywaji? basi leo nenda kapombeke hadi late times na ukirudi home mgongee binti wa kazi akufungulie mlango ukiingia ndani akibwawaja tu mtie kibao kimoja kitakatifu. kisha mwambie hii ni trela picha inakuja. lazima atatia akili.
kwa ufupi kuna 'kidumu'
take care...
Vijana wa kazi wao ndio huwa wanapewa pesa za matumizi na siyo wao kuwapa pesa wanawake, maana wao ajila yao ni kuwakuna vizuri wanawake ambao wanakosa mkuno stahiki kwa waume zao.Sasas hicho kidumu kwa nini kisimpe hela ya mafuta?
M-bongotz, Pole sana kwa mkasa huu. Natatizwa na maelezo yako ya kuwa mlikuwa na mahusiano kwa miaka 4 na mkaamua kuhalalisha mahusiano kwa ndoa takatifu baada ya kupata mtoto? Ni nini kilisababisha uwe na mahusiano kwa kipindi chote hicho bila kufunga ndoa? Je ulikubali kufunga nae ndoa kwa sababu tu ya mtoto au mlipendana kwa dhati?.. I am just thinking aloud!! Natumaini mtaweza kukaa chini na kujadili changamoto hii ili ndoa yenu idumu.
M-bongotz
hilo ni tatizo ambalo wanawake wanalo hasas wanapopata pesa bila kujali ni kiasi gani
kwa case hii nadhani huyu anaweza kuwa na mtu (mwanaume mwingine); marafiki wabaya wanapenda kumpoteza bila yeye kujijua,; au ni mja mzito
solution: tafuta muda mzuri kaa naye mkumbushe yote mazuri ya nyuma kisha mweleze mabaya yake ya sasa kama hata elewa mtafute ndg yake anaye mheshimu kisha jadili kwa pamoja
kinga ni bora zaidi it is better ukamuwahi kabla hajaharibika zaidi.
KUMBUKA UKIANZA KUMTAFITI UTAUMIA SANA NA UTAJITESA MNO