gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,692
aisee mimi sikwambii pole hata kidogo, manake makosa nayaona kwako mkuu ila utanisamehe sana ila ukweli ni kwamba wewe hauko kama baba nyumbani kwako. rudi tena nenda kasome uzi wa Dark City juu ya sifa za mwanaume halisi wa kiafrika.
huwez kukaa ndani eti mkeo akataka kukutawala yeye awe baba na wewe uwemtoto ama mkeo ahame chumbani akuache wewe ndani.
mkeo hawez kutoa huduma yeyote ukweni kisha aka claim apewe returns na wewe ukamsikiliza. tena hawez kuwa anafanya kazi kisha hela ya mafuta kila siku wewe ndo umpe tena kwa lazima. nachelea kusema hujakaa ndani mwako kama baba rudi jipange upya n Mungu akusaidie aisee.

Last edited by a moderator: