Wife kanibadilikia, msaada pls

Wife kanibadilikia, msaada pls

aisee mimi sikwambii pole hata kidogo, manake makosa nayaona kwako mkuu ila utanisamehe sana ila ukweli ni kwamba wewe hauko kama baba nyumbani kwako. rudi tena nenda kasome uzi wa Dark City juu ya sifa za mwanaume halisi wa kiafrika.

huwez kukaa ndani eti mkeo akataka kukutawala yeye awe baba na wewe uwemtoto ama mkeo ahame chumbani akuache wewe ndani.

mkeo hawez kutoa huduma yeyote ukweni kisha aka claim apewe returns na wewe ukamsikiliza. tena hawez kuwa anafanya kazi kisha hela ya mafuta kila siku wewe ndo umpe tena kwa lazima. nachelea kusema hujakaa ndani mwako kama baba rudi jipange upya n Mungu akusaidie aisee.
 
Last edited by a moderator:
ushauri wangu wa bure kabisa wewe ni mnywaji?
basi leo nenda kapombeke hadi late times na ukirudi home mgongee binti wa kazi akufungulie mlango ukiingia ndani akibwawaja tu mtie kibao kimoja kitakatifu. kisha mwambie hii ni trela picha inakuja. lazima atatia akili.
 
pole sana mkuu, kwa upande wangu naona kama wewe ni mwanaume mpole sana that is why huyo mke kafanikiwa kukupanda kichwani adi amefikia extent hyo ya kubuni vitimbwi vipya kila kukicha, kosa hapo ulikosea kumrekebisha at the start alipoanza kuchange, kwani alianza na kuingiza mguu mmoja kupima urefu wa kina cha maji finally kaingiza miguu yote,as u said b4 hakuwa hvyo then that clearly shows ni limbukeni na amereveal what kind of woman she is baada ya kupata guarantee ya kua kwenye ndoa. na wewe ulishindwa kucontrol all those stupid behaviour of hers from the scratch, now unatakiwa ufanye kazi kubwa mno! pole sana mkuu penye miti hapana wajenzi!
 
Kusema ile kweli, mimi wa kwangu alianza kama hivyo akataka kuwa yeye ndiye baba, nilijaribu kwa njia kibao za kidiplomasia kuweka mambo sawa ikawa ngumu. Bahati mbaya siku moja tu kichapo kikatembea mambo yakakaa sawa.

Sikushauri umchape lakini .......

Haya Banah!
 
ushauri wangu wa bure kabisa wewe ni mnywaji?
basi leo nenda kapombeke hadi late times na ukirudi home mgongee binti wa kazi akufungulie mlango ukiingia ndani akibwawaja tu mtie kibao kimoja kitakatifu. kisha mwambie hii ni trela picha inakuja. lazima atatia akili.

Unajua kwa nini nimekugongea like?
 
ushauri wangu wa bure kabisa wewe ni mnywaji? basi leo nenda kapombeke hadi late times na ukirudi home mgongee binti wa kazi akufungulie mlango ukiingia ndani akibwawaja tu mtie kibao kimoja kitakatifu. kisha mwambie hii ni trela picha inakuja. lazima atatia akili.
hii kali nashauri ufate ushauri huu utakusaidia
 
kwakweli saa nyingine sisi wanawake ni watu wa ajabu. Hayo maelezo hapo juu jinsi yalivyo uyo mwanamke ana kidudu mtu kichwani si bure.
 
ukisoma sana kesi za ndoa na nyingine kujionea mwenyewe ktk jamii utagundua jambo....KUNA WATU WAKIONA MAMBO KTK TAMTHILIA NA MOVIE ZA KINA KANUMBA BASI HUPELEKA MAMBO HAYO KTK NDOA ZAO bila kuchukua hata sekunde kumi za kutafakari!
 
Mke wako anatingisha kiberiti tu mie nakushauri mkalishe chini na mueleze juu ya mabadiliko yake!! Mweleze ajirudi kwenye nafasi yake ikishindikana basi fuata system za Kiafrica mke anakua chini ya mume maana kwa jinsi ulivoweka wote mlilingana sasa hata kama kapata kidumu basi kuo uhuru hautaki!!
 
Hili jukwaa ndio maana huwa sipendelei kuja huku, maana hadithi za huku zinaweza kukusababishia uendelee kuzini milele bila kuoa. Marriage means happiness sasa haya mambo mengine sisi tuliomilikishwa Fire Army mapema hatutaki kuccomit Manslaughter.
 
Sasas hicho kidumu kwa nini kisimpe hela ya mafuta?
Vijana wa kazi wao ndio huwa wanapewa pesa za matumizi na siyo wao kuwapa pesa wanawake, maana wao ajila yao ni kuwakuna vizuri wanawake ambao wanakosa mkuno stahiki kwa waume zao.

Mbaya zaidi ukifanikiwa kuona video clip za hawa vijana wakiwa kazini maana yake unatowa talaka kwa mkeo siku hiyo hiyo maana utagunduwa kumbe ulikuwa unamgusagusa tu mkeo ila wapo vijana huwa wanaacha kazi na wanafanya kazi, na wanatoa na bikra ya pili.
 
M-bongotz, Pole sana kwa mkasa huu. Natatizwa na maelezo yako ya kuwa mlikuwa na mahusiano kwa miaka 4 na mkaamua kuhalalisha mahusiano kwa ndoa takatifu baada ya kupata mtoto? Ni nini kilisababisha uwe na mahusiano kwa kipindi chote hicho bila kufunga ndoa? Je ulikubali kufunga nae ndoa kwa sababu tu ya mtoto au mlipendana kwa dhati?.. I am just thinking aloud!! Natumaini mtaweza kukaa chini na kujadili changamoto hii ili ndoa yenu idumu.
 
Last edited by a moderator:
mweke chini muongee huku ukitafuta chanzo cha matatizo,solve thngs as a man n wisely
 
Mchungaji mmoja alinimbia japo hasira na ukali ni dhambi,lakini ukiwa mpole saaaaaana kwenye ndoa,basi kwenye ndoa mwanaume utakuwa mke na mke atakuwa mume hata kufikia hatua ya huyo mkeo kusongea ugali juu ya kichwa chako.. Biblia inamtaja mwanaume kama kichwa cha familia,hiyo tafsiri ni pana sana,japo wengi huishia kuitafakari ni kwenye kuihudumia familia tu.
 
M-bongotz, Pole sana kwa mkasa huu. Natatizwa na maelezo yako ya kuwa mlikuwa na mahusiano kwa miaka 4 na mkaamua kuhalalisha mahusiano kwa ndoa takatifu baada ya kupata mtoto? Ni nini kilisababisha uwe na mahusiano kwa kipindi chote hicho bila kufunga ndoa? Je ulikubali kufunga nae ndoa kwa sababu tu ya mtoto au mlipendana kwa dhati?.. I am just thinking aloud!! Natumaini mtaweza kukaa chini na kujadili changamoto hii ili ndoa yenu idumu.

wanawake huwa wanasema wanaume hawatabiriki,hata sisi wanaume tunasema wanawake hawatabiriki,so mkuu jiulize kwa nini? moja wapo ni mambo kama haya.
 
Last edited by a moderator:
user-online.png
M-bongotz
hilo ni tatizo ambalo wanawake wanalo hasas wanapopata pesa bila kujali ni kiasi gani

kwa case hii nadhani huyu anaweza kuwa na mtu (mwanaume mwingine); marafiki wabaya wanapenda kumpoteza bila yeye kujijua,; au ni mja mzito

solution: tafuta muda mzuri kaa naye mkumbushe yote mazuri ya nyuma kisha mweleze mabaya yake ya sasa kama hata elewa mtafute ndg yake anaye mheshimu kisha jadili kwa pamoja

kinga ni bora zaidi it is better ukamuwahi kabla hajaharibika zaidi.

KUMBUKA UKIANZA KUMTAFITI UTAUMIA SANA NA UTAJITESA MNO

Nakubaliana na wewe kwa vitu vyote isipokua si wote wakipata pesa wanasumbua,cause nina live example sio chini ya 5 na ndoa za hao watu zinaprosper vizuri sana na heshima ndani ya nyumba ipo japo mwanamke anauwezo kifedha zaidi ya mwenzie. Afanye haya uliyomshauri plus maombi.
Mi i believe in praying it works very fast but one has to commit him/herself seriously, kwani believe it or not many times satan hapendi muishi na amani, kwa upendo kusikilizana nk. lazma patazuka jambo tu la kusambaratisha mambo, Do it utanambia..
 
Back
Top Bottom