Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
11,931
Reaction score
15,849
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
 
Kama vile nakuona
1000017216.png
 
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
kesho mletee viatu vya maana sana, mwambie tu mke wangu, hebu jaribu hivi kama vitakutosha, nimevipenda kweli, vikikutosha nikalipie,

Atashusha tabasamu la maana sana aise na utakua umesolve hiyo issue kisayansi zaidi 🐒
 
Back
Top Bottom