Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
Mwache anune kama jasiri atachukua vilago ataenda zake
 
Tatizo kubwa hapo ni wife kurudi bila kukupa taarifa na kapata na wageni.

Solve kwanza hilo, hili ni dogo tuu.
Na kuja bar nani kamruhusu kwanza?

Ujue bar zina walevi wana matatizo mengi sana, hususan kwa wake za watu 🤣🤣🤣
 
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
Mpakate yeye, kesi itakuwa closed.
 
Ndege wa fananao wanaruka pamoja!!
Uwezi kuta bundi n njiwa kwenye kundi moja.
All the best
 
Ndege wa fananao wanaruka pamoja!!
Uwezi kuta bundi n njiwa kwenye kundi moja.
All the best
 
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
Tuwekee picha ili tuthibitishe
 
Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
Hivi inakuwaje mtu mwenye akili anajidhalilisha kwa Mabar Maid?
 
Unaonekana umeanza kunywa pombe juzi tu uhimii wako wa pombe bado ni mdogo sana. remember ninaposema pombe sio serengeti lite
 
Mwajiri pale anapo muogopa mwajiriwa🤣🤣

Ulitakiwa umuite wife nae umpakate paja jengine na barmaid abaki paja jengine tu.
 
Inategemea kwenye hiyo ndoa kama una exist kama wife au husband
 
Back
Top Bottom