Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

Wife kanifuma nimempakata bar maid kwenye mapaja,nasolve vipi hii kesi?

Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona.
Nasolve vipi hii ngoma wakuu?
Atayesolve ni yeye na uwe mpole maana ulijua kuwa una ndoa na kumheshimu nkeo
 
Kaa kimya akianza kuuliza anza na swali kwanini ukirejea bila taarifa akiwa na wageni then mchenjie hapo.

Yaani mke anarudi home bila taarifa duh?

Wazee wetu walikuwa wanatanguliza koti kwanza kabla kufika home.
 
Back
Top Bottom