Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 Dec 13, 2024 #41 Yeye alikuwa anamfuata meneja wa bar, hizo soda gani akanunue bar wakati kwa mangi soda zimejaa.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Dec 14, 2024 #42 Hii nayo ni kesi kweli?
T tungatagaga Senior Member Joined Aug 18, 2024 Posts 187 Reaction score 225 Dec 14, 2024 #43 tang'ana said: Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona. Nasolve vipi hii ngoma wakuu? Click to expand... Atayesolve ni yeye na uwe mpole maana ulijua kuwa una ndoa na kumheshimu nkeo
tang'ana said: Last weekend wife alikua safarini,akarudi ghafla home kuna bar flani jirani akaja kuchukua soda za wageni,akanifuma nimempakata bar maid flani hivi.hajanisemesha kitu since then,kanuna tu naona. Nasolve vipi hii ngoma wakuu? Click to expand... Atayesolve ni yeye na uwe mpole maana ulijua kuwa una ndoa na kumheshimu nkeo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 38,283 Reaction score 97,793 Dec 14, 2024 #44 Pole sana
L lunguzamnazi Member Joined Sep 9, 2024 Posts 56 Reaction score 87 Dec 14, 2024 #45 Kaa kimya akianza kuuliza anza na swali kwanini ukirejea bila taarifa akiwa na wageni then mchenjie hapo. Yaani mke anarudi home bila taarifa duh? Wazee wetu walikuwa wanatanguliza koti kwanza kabla kufika home.
Kaa kimya akianza kuuliza anza na swali kwanini ukirejea bila taarifa akiwa na wageni then mchenjie hapo. Yaani mke anarudi home bila taarifa duh? Wazee wetu walikuwa wanatanguliza koti kwanza kabla kufika home.