Wife kanuna baada ya kuona hizi picha zangu nikicheza kwenye harusi ya jamaa yangu

Anamguu mzuri...afu kipotabo flani...type zangu hizo
 
Mmenikumbusha kile kisa cha mke wa Rais fulani wa Kenya!

Eti alikataa kucheza dance na mumewe sijui rafiki wa mume,

Mwanaume (Rais) akakasirika,

Sijui Rais alilichukuliaje hilo swala lakini ilisemekana Eti sababu hiyo ilipelekea hadi kuachana kabisa na ndoa ikabaki historia.
 
Mkuu ulikumbuka kuchukua namba ya huyo dem ili unipasie
 
Pole pombe zilikuponza ila hizo picha hata kama ningekuwa n mm ningenuna[emoji3062]we mwambie tu sio ww n pombe[emoji23]au mwambie shetani alinipitia[emoji16][emoji16]
 
Mwambie, demu mwenyewe alikuwa na show mbovu hvy hujafurahia.
 
watanzania tunatafuta faraja kwenye matatizo yetu ya kiuchumi kwa kunywa pombe na uzinzi
 
Ila mwamba inaonekana pombe zilikuwa zishashuka chini mana jinsi umevyomguard huyo mtoto[emoji23][emoji23]
 
Mwanamme unatakiwa kuwa na ushawishi kiasi uweze kuwa na mke wako hapo ukumbini na ukacheza na mwanamke mwingine bila tabu.

If it's just a dance.

Tatizo wewe unakwenda kwenye harusi bila mke wako, halafu unacheza na mwanamke mwingine.
Halafu mrembo kushinda mkeo
 

Mimi siwezi kucheza hivyo either sirini au in Public, kamalizane naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…