Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Ungekua ww ungechekaLast week jamaa angu alikua anaoa,so kwenye sherehe nikachapa tungi sana then nikakamatia mtoto flani wa kike nikaruka nae debe sana, kumbe mle ukumbini wife alikua na makachero wake ambao walimtumia picha za kila tukio nililofanya.
So baada ya kuona picha zangu nimekamatia kiuno cha mtoto wa kisambaa kanuna mpaka leo.
Nifanyaje wakuu?
View attachment 2215896
View attachment 2215897
View attachment 2215898