Wife katoka out bila kunijulisha

Wife katoka out bila kunijulisha

Niko mjini Dublin-Ireland kikazi,so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.
Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.
Leo siku nzima hajanitafuta,jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute,akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.
Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach,nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.
Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Kumchunga ukiwa mbali ni ngumu, kikubwa ukirudi hakikisha unampima vipimo vyote kabla hujaanza tena kumla. By vipimo vyote namaanisha ngoma, mimba, homa ya ini, marinda etc
 
Niko mjini Dublin-Ireland kikazi, so hii sikukuu ya pasaka haijanikutia huko bongo.

Juzi ijumaa tuliongea kwa kirefu tu na wife aliyeko huko bongo na nikawatumia kama pound 1000 hivi kwa ajili ya sikukuu coz aliniambia kuna wageni wake wangemtembelea.

Leo siku nzima hajanitafuta, jioni hii kwa saa za hapa kwetu nikasema nimtafute, akapokea ila alikua kwenye kelele mno hatukusilizana.

Baada ya like 1 hour hivi nikaona niwapigie tena akapokea mtoto wetu mdogo akasema walikua out sijui wapi huko mbezi beach, nimeskia wife anamgombeza dogo kuwa aache kisabengo cha kuongea mambo ambayo hajaulizwa.

Je wakuu hili limekaaje la mke wa mtu kutoka out bila mumewe kutokuwepo?
Hizo pounds umezipata wapi?
 
images-16.jpeg
Subiri ipoe bado ya motoo
 
Wasi wasi wako tu. Sema kosa alilolifanya ni kutoka pasipo kukupatia taarifa. Ama labda huwa unamzuia kutoka pasipo uwepo wako. Kaamua awatoe watoto wakafurahi.
 
Back
Top Bottom