Wife material anatakiwa. Asizidi watoto wawili

Daah huyo kiboko [emoji119] [emoji119]
 
cute angalia heading inasemaje jaman mbn unataka kuharibu utaratibu my dear??
Hivi unanini lakini wewe mwanamke, embu waachie wenzio fursa [emoji6]
Mie ndio maana sehemu kama hizi lazima nije kukuchungulia
 
Safari njema
 
Tooba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani yule mke wako uliyemchapa kibao kisa profesa lipumba akakimbilia kwao ulimpa talaka???? Au unatafta mke wapili mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyani mwekundu unaniovertake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…