Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Nadhani alikumbuka..teh tehEmbu mkumbushe maana anaharaka mwanamke huyu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani alikumbuka..teh tehEmbu mkumbushe maana anaharaka mwanamke huyu
Daah huyo kiboko [emoji119] [emoji119]hahaha kuna chuo fulan moro kuna mdada kaolewa na waume wawil .. mume wa ndoa hajui kitu maskin ya Mungu... huyu bibie kawaleta had ndg zake na coaster! walifungia bomani! na bado haijabumbuluka bado huwa nikimuona nacheka sana ! nilimuulizaga akasema [HASHTAG]#mbiti[/HASHTAG] mnaniona mie chiz ila mume wangu amenidharau sana kuzaa na beki 3,, na yy kaamua kuolewa waume wawili! ukimuona hafananii !hahahahah hatar sana aic!
We msukuma changamkia fursacute angalia heading inasemaje jaman mbn unataka kuharibu utaratibu my dear??
Hivi unanini lakini wewe mwanamke, embu waachie wenzio fursa [emoji6]cute angalia heading inasemaje jaman mbn unataka kuharibu utaratibu my dear??
Mi nataka 35+
IRON LADY!!!!
Mtu analiwa?Kwa iyo auliki??
Mtu analiwa?
Aisee...mwanamke akikosa mwanaume basi kajitakiaMbona huna?
Aisee...mwanamke akikosa mwanaume basi kajitakia
Safari njemahehehehheh woyooooooooooooooooooooooooooooooo Neybright ,demi tafadharini naomba kuwaaga rasmi jamen!
mkuje kweny kitchen party yangu(hahahahaha),hv ukiolewa ,ukaolewa tena sendoff na kitchen party huwa
inahusu??hahahhaa nawaza namuimbiaje mzee MBITIYAZI! QWI QWI HATIMAE MACHOZI YANGU YANAENDA KUFUTIKAAAAAAAAAA...safari ya pm nw......teh...
Kajitakia au domo zegeNa mwanamme akikosa mwanamke basi basi ni bwabwa
Kajitakia au domo zege
Domo zege hasisimui kabisa. Napenda mwanaume asiyeona aibu kunitamkia ananitaka..tena akiwa amenitazama machoni. Nalegea kabla sijampa jibuMi domo zege kwako nisaidie basi,...
Domo zege hasisimui kabisa. Napenda mwanaume asiyeona aibu kunitamkia ananitaka..tena akiwa amenitazama machoni. Nalegea kabla sijampa jibu
Kwa udomo zege huo utaishia kula kwa machoAnatafunwaaa mpaka mifupaaa,...
Kwa udomo zege huo utaishia kula kwa macho
Toobahehehehheh woyooooooooooooooooooooooooooooooo Neybright ,demi tafadharini naomba kuwaaga rasmi jamen!
mkuje kweny kitchen party yangu(hahahahaha),hv ukiolewa ,ukaolewa tena sendoff na kitchen party huwa
inahusu??hahahhaa nawaza namuimbiaje mzee MBITIYAZI! QWI QWI HATIMAE MACHOZI YANGU YANAENDA KUFUTIKAAAAAAAAAA...safari ya pm nw......teh...
Nyani mwekundu unaniovertakehehehehheh woyooooooooooooooooooooooooooooooo Neybright ,demi tafadharini naomba kuwaaga rasmi jamen!