Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Stanboy

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2013
Posts
1,114
Reaction score
1,308
Hello everyone,

I am looking for a wife material, mrembo, anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu inasubiriwa na ukoo mzima(serious).

Kigezo cha muhimu uwe mzuri maana nikioa sitaki habari za kuchepuka kisa nina mke mbaya,nataka nitulie na mke wangu tu niongeze juhudi kutafuta pesa,kulea familia na kuenjoy maisha na mke wangu tu.

Familia yetu itakuwa mfano wa kuigwa eee Mungu ukasimamie hili,Amen๐Ÿ™

SIFA ZANGU
Umri: 33 years
Marital Status: Single, sijawahi kuoa
Height: Tall
Body size: Size ya kati(si mnene wala mwembamba..mwili wa kiume)
Colour: Maji ya kunde
Kabila: Msukuma
Education: Bachelor Degree
Kazi: Nimeajiriwa/nimejiajiri pia
Dini: Mkristo-KKKT
Makazi: DSM

SIFA ZA MKE WANGU MTARAJIWA
Umri: asizidi miaka 30
Height: Size ya kati au mrefu
Colour: Maji ya kunde au mweupe
Body size;Awe na muonekano wa kike.. kishape/shape ya kike, avutie..hii ni muhimu sana kwangu...mwanamke ni fahari ya familia yangu.
Kazi: Awe ameajiriwa au kujiajiri
Elimu: Kuanzia form four na kuendelea
Dini: Yoyote, kama si mkristo awe tayari kubadili kuwa mkristo
Kabila: Sibagui
Makazi: Akiwa anaishi Dar es salaam na maeneo jirani ni vizuri zaidi,maeneo mengine mbali na Dar nitaangalia sifa zingine kama zinatosha utakuwa mke wangu.

AWE MZURI NA ASIWE NA MTOTO/WATOTO

NB: Niko Serious sitanii juu ya hili,huu ni mwaka wangu..so Karibu PM mke wangu mtarajiwa tufahamiane zaidi ๐Ÿค๐Ÿค
 
Mnipe ya udalali...๐Ÿ˜…
 
Wewe ni material?? kigezo hicho weka ...ndio key
 
Kweli kila mtu na vigezo vyake...

Huyu nahisi yupo radhi aoe hata demu la masela ila tu uzuri uwepo..

Wapo sana ila utapata mwenye dharau na chakula ya jumuiya..
Kila mtu ana sifa zake maana ndo ataishi naye yeye siyo wewe....usiishi kwa kufuata watu wanatakaje weka formula za maisha yako kulingana na wewe unavyotaka
 
Ahaaaaaa
Hapo kwenye ndoa mwaka huu, utawapata wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ