Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Nataka nifungue ofisi ya kuwezesha kupata mke na mume kwa atakayekuwa tayari.Naombeni ushauri na niite jina gani wakati wa kusajili na namna ya kusajili
 
Masharti Kama mganga wa kienyeji daaaaaaaa
Kwani inakuuma mkuu?

Si utafute tu na wewe😀😀
Ndo vizuri..nataka mtu mwenye sifa nataka..siyo baadaye nioe then nianze kuhangaika lazima nipate kitu murua faraja ya roho😀😀
 
Nataka nifungue ofisi ya kuwezesha kupata mke na mume kwa atakayekuwa tayari.Naombeni ushauri na niite jina gani wakati wa kusajili na namna ya kusajili
Kila laheri,hii ni fursa mkuu
 
Ngosha mwenzangu mbona usukumani vyombo vipo kibao tena vinapiga kazi sana au ukitaka oa hata watani zetu huko dar wazaramo , wandegeleko na wakwele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo ukimtoa huko kwetu usukumani ukimleta huku anabadilika sana na kuwa tatizo acha tupambane na wa huku huku
 
Huu mwaka wa ndoa maana sio kwa dalili hizi. Asante kuniita tho sina vigezo.

Pia asante lulu kutufungulia njia, gundu nuksi zote zitaondoka mwaka huu😅 ameeen
Amen,
Ni ikawe hivyo👏🏻
 
Huu mwaka wa ndoa maana sio kwa dalili hizi. Asante kuniita tho sina vigezo.

Pia asante lulu kutufungulia njia, gundu nuksi zote zitaondoka mwaka huu😅 ameeen
Dah ngoja nibonge nae ashushe vigezo
 
Back
Top Bottom