Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Kwa nini usitafute mtaani mkuu mbona ndafu zipo za kutosha
Sijawaona mkuu,wengi hawana sifa ninazotaka..ndo maana nimekuja hapa ili mtu atakayekuja PM maana yake ana sifa ninazotaka
 
Hello everyone,

I am looking for a wife material,mrembo,anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu inasubiriwa na ukoo mzima(serious).

Kigezo cha muhimu uwe mzuri maana nikioa sitaki habari za kuchepuka kisa nina mke mbaya,nataka nitulie na mke wangu tu niongeze juhudi kutafuta pesa,kulea familia na kuenjoy maisha na mke wangu tu.

Familia yetu itakuwa mfano wa kuigwa eee Mungu ukasimamie hili,Amen🙏

SIFA ZANGU
Umri:33 years
Marital Status:Single,sijawahi kuoa
Height:Tall
Body size:Size ya kati(si mnene wala mwembamba..mwili wa kiume)
Colour:Maji ya kunde
Kabila:Msukuma
Education:Bachelor Degree
Kazi:Nimeajiriwa/nimejiajiri pia
Dini:Mkristo-KKKT
Makaz: DSM

SIFA ZA MKE WANGU MTARAJIWA
Umri:asizidi miaka 30
Height:Size ya kati au mrefu
Colour:Maji ya kunde au mweupe
Body size;Awe na muonekano wa kike..kishape/shape ya kike..avutie..hii ni muhimu sana kwangu...mwanamke ni fahari ya familia yangu.
Kazi:Awe ameajiriwa au kujiajiri
Elimu:Kuanzia form four na kuendelea
Dini:Yoyote,kama si mkristo awe tayari kubadili kuwa mkristo
Kabila:Sibagui
Makazi:Akiwa anaishi Dar es salaam na maeneo jirani ni vizuri zaidi,maeneo mengine mbali na Dar nitaangalia sifa zingine kama zinatosha utakuwa mke wangu.
AWE MZURI NA ASIWE NA MTOTO/WATOTO

NB: Niko Serious sitanii juu ya hili,huu ni mwaka wangu..so Karibu PM mke wangu mtarajiwa tufahamiane zaidi 🤝🤝

All the best
Hapo kwenye uzuri ndo shdaaa inapoazia maana uzuri wa mtu upo machonii
 
Sijawaona mkuu,wengi hawana sifa ninazotaka..ndo maana nimekuja hapa ili mtu atakayekuja PM maana yake ana sifa ninazotaka
Warembo wote wa DSM jamani?angaliaangalia vizuri bwana all in all kila la heri
 
Hello everyone,

I am looking for a wife material,mrembo,anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu inasubiriwa na ukoo mzima(serious).

Kigezo cha muhimu uwe mzuri maana nikioa sitaki habari za kuchepuka kisa nina mke mbaya,nataka nitulie na mke wangu tu niongeze juhudi kutafuta pesa,kulea familia na kuenjoy maisha na mke wangu tu.

Familia yetu itakuwa mfano wa kuigwa eee Mungu ukasimamie hili,Amen[emoji120]

SIFA ZANGU
Umri:33 years
Marital Status:Single,sijawahi kuoa
Height:Tall
Body size:Size ya kati(si mnene wala mwembamba..mwili wa kiume)
Colour:Maji ya kunde
Kabila:Msukuma
Education:Bachelor Degree
Kazi:Nimeajiriwa/nimejiajiri pia
Dini:Mkristo-KKKT
Makaz: DSM

SIFA ZA MKE WANGU MTARAJIWA
Umri:asizidi miaka 30
Height:Size ya kati au mrefu
Colour:Maji ya kunde au mweupe
Body size;Awe na muonekano wa kike..kishape/shape ya kike..avutie..hii ni muhimu sana kwangu...mwanamke ni fahari ya familia yangu.
Kazi:Awe ameajiriwa au kujiajiri
Elimu:Kuanzia form four na kuendelea
Dini:Yoyote,kama si mkristo awe tayari kubadili kuwa mkristo
Kabila:Sibagui
Makazi:Akiwa anaishi Dar es salaam na maeneo jirani ni vizuri zaidi,maeneo mengine mbali na Dar nitaangalia sifa zingine kama zinatosha utakuwa mke wangu.
AWE MZURI NA ASIWE NA MTOTO/WATOTO

NB: Niko Serious sitanii juu ya hili,huu ni mwaka wangu..so Karibu PM mke wangu mtarajiwa tufahamiane zaidi [emoji1666][emoji1666]

All the best brother…..
 
Back
Top Bottom