Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Tunaomba mrejesho ndugu yetu.

Kama zege bado sema wajumbe tuingie mtaani tukuletee jiko fast
 
Hello everyone,

I am looking for a wife material,mrembo,anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu inasubiriwa na ukoo mzima(serious).


NB: Niko Serious sitanii juu ya hili,huu ni mwaka wangu..so Karibu PM mke wangu mtarajiwa tufahamiane zaidi 🤝🤝
Wife material + Mwanamke mrembo ni sawa tu na mafuta ya taa + maji!
Kamwe havijawahi kuchangamana! Imagine Irene Uwoya, eti awe Wife material! 🤔 Inawezekana kweli?

Kwa uzoefu wangu, wife material wengi huwa na sura/umbo/muonekano wa kawaida sana ukilinganisha na zile Pisi kali, ambazo muda wote macho yao yako juu juu!

Zimeweka mikucha mirefu kwenye vidole vyao kama mashetani! Zimejipaka mi lipstik utafikiri zimetoka kula nyama mbichi! Zimeweka minywele ya bandia kichwani! Zinavaa nusu uchi! Kujishaua kwingi na kuishi maisha ya akina Kim Kardashian!

Kiukweli wanawake warembo wanafaa kwa matumizi ya muda mfupi tu. Ila siyo kwa ajili ya kuoa. Maana muda wowote utaishia tu kumtwanga risasi kama yule jamaa wa Mwanza.
 
Wahusika wachangamkie fursa chap, hatutaki tena malalamiko ya kukosa waume
 
Kaka hayo mengine ni majaliwa tu,ila kikubwa sifa lazima zizingatiwe
 
Back
Top Bottom