Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,607
Rudia kusoma tena.Dogo mwenzako kaandika anataka asizidi 32, wewe umekuja kuleta 33...
Hahahah!! Hapo Umeingia cha Bashiru
HahahahaahahahhahahahaahahahhahaahahhahahahahaHakuna mwanaume mrefu ana sura mbaya
Haya bhana mkuu ila utapata 🤔🤔🤔Wanaume warefu tuna kila kitu kizuri😀😀
Mnipe ya udalali...😅
Ame edit Mwanzo haikua hivoRudia kusoma tena.
Ana miaka 30 yupo anatafua mume yupo na 33-45. Na OP ana 33 yupo anatafuta mke mwenye asizidi 30.
Au nikuitie watu hao wachangamkie fursaHata kama wapo ila ndo wadada wanawapenda hivyo hivyo
DinazardeWaite tu mkuu,tumalize jambo hili mapema kabla Dr Mpango hajafanya mipango yake😀😀
Mkuu kumbe ndo hawa wakongwe wa Jf..haya majimbo yatakuwa mikononi mwa watu bila shaka😀Dinazarde
princess ariana
ledada
Yna2
Evelyn Salt
luckyline
pisi
Mnahitajika huku na Stanboy anajambo lenu
Hawa utapata na Connection mkuu ili vidosho vijeMkuu kumbe ndo hawa wakongwe wa Jf..haya majimbo yatakuwa mikononi mwa watu bila shaka😀