Wife Material Mrembo anahitajika haraka. Ndoa Mwaka huu

Nataka nifungue ofisi ya kuwezesha kupata mke na mume kwa atakayekuwa tayari.Naombeni ushauri na niite jina gani wakati wa kusajili na namna ya kusajili
 
Masharti Kama mganga wa kienyeji daaaaaaaa
Kwani inakuuma mkuu?

Si utafute tu na wewe๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Ndo vizuri..nataka mtu mwenye sifa nataka..siyo baadaye nioe then nianze kuhangaika lazima nipate kitu murua faraja ya roho๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
 
Nataka nifungue ofisi ya kuwezesha kupata mke na mume kwa atakayekuwa tayari.Naombeni ushauri na niite jina gani wakati wa kusajili na namna ya kusajili
Kila laheri,hii ni fursa mkuu
 
Ngosha mwenzangu mbona usukumani vyombo vipo kibao tena vinapiga kazi sana au ukitaka oa hata watani zetu huko dar wazaramo , wandegeleko na wakwele[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tatizo ukimtoa huko kwetu usukumani ukimleta huku anabadilika sana na kuwa tatizo acha tupambane na wa huku huku
 
Unasifa za Mume wangu mtarajiwa...au ndiyo wewe??!!๐Ÿ™„ umekuja kutafuta Jambo humu???...
 
Huu mwaka wa ndoa maana sio kwa dalili hizi. Asante kuniita tho sina vigezo.

Pia asante lulu kutufungulia njia, gundu nuksi zote zitaondoka mwaka huu๐Ÿ˜… ameeen
Amen,
Ni ikawe hivyo๐Ÿ‘๐Ÿป
 
Unasifa za Mume wangu mtarajiwa...au ndiyo wewe??!!๐Ÿ™„ umekuja kutafuta Jambo humu???...
Siyo mimi bana...karibu tuyajenge๐Ÿ˜Š
 
Huu mwaka wa ndoa maana sio kwa dalili hizi. Asante kuniita tho sina vigezo.

Pia asante lulu kutufungulia njia, gundu nuksi zote zitaondoka mwaka huu๐Ÿ˜… ameeen
Dah ngoja nibonge nae ashushe vigezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ