Wiki hii nakuja Dar kumpuzika,naomba kufahamu sehemu nzuri ya kumpuzikia

Hongera zake aliokuficha
 
Nenda mbezibeach pale comfort

Kuna Belinda full kaupepo kabeach

Kuna landmark nk
 
Tandale kwa tumbo pale pako fresh sana
Utakabwa mpaka ukome kulinga achana napo huko hapafai, deal linasukwa na mwenye guest sijui hotel lile. na wamiliki wengi ni wadengereko hawajui biashara. wanaujuaji wa kishamba they just live hand to mouth.

Kwa nini usije kwangu hapa mbezi beach Mumy, telemka Afrika sana kwa wastaarabu siku tatu tu siyo nyingi mama, ntakutunza utumie unachotaka hata mwana kiburudisho ndo mwanzo wa kufahamiana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…