mafutamingi
JF-Expert Member
- Feb 14, 2011
- 2,773
- 2,183
Wala si ajabu. Waliisha hama akina ENL na FTS atakuwa huyo? After all ni haki yakeHabari zilizotufikia hivi punde
Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa
Mwanahabari Huru