Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Mama yangu itakuwa ni dalili zahiri shahiri ya kufa kwa ccm chama cha mapinduzi!
 
Nahisi kuna chama fulani kinabiashara na mitandao ya simu maana hizi tetesi kila muda tuunge bando tu! Kwani ruzuku haiwatoshi nyie watuu!!!?
 
Wewe Hata Ukificha sisi tumeshajua Kama ni Polepole huyo na si Mwengine.
 
Walihama wakina Kambona na bado CCM iliendelea kuwepo na bado ipo,so siyo ishu mkuu.
 
CDM wanunue kwani wanakusanya kodi
Ujue CDM hapo ndipo mnakuja chinganya Mtu anasema kabisa atakimbia CCM Kisa kawekwa pembeni ninyi mnashangilia sasa Alitaka ale peke yake milele? Aachie na wengine wale yeye apumzike! Si unawaona Hao mawaziri wakuu waliopita wangekuwa wako bado WANAKULA CCM wasingekembia sasa wamekatwa wamekimbia! Tafakari! Ukiwa wala CCM safi ukikatwa CCM mbaya!
 
Walihama wakina Kambona na bado CCM iliendelea kuwepo na bado ipo,so siyo ishu mkuu.
mchana na usiku masaa yana fanana ila ni tofauti kabisa mkuu soma alama za nyakati!!
 
Yote poa. Atakuwa "expansion joint" tu, ukuta bado upo salama. Fisiem shida ni rushwa, si mtu! Ondoa rushwa, chama kinakufa Asubuhi tu!
 
Back
Top Bottom