aganza
JF-Expert Member
- Mar 9, 2017
- 1,450
- 3,153
Yaani nchi isisimke sababu ya maupumbafu pliz tupeni breki!!!Habari zilizotufikia hivi punde
Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa
Mwanahabari Huru