Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Ahame tu kwani ccm ni baba yake au mama yake mpka asihame?
 
Huyu atakuwa KINANA, maana anachukizwa na kutopewa nafasi ya kuongea na SIZONJE. Halafu kinana haendani na Babu Polepole
 
Hapo sasa ndiyo mjue kuwa watanzania hatuna vyama vya kudumu tunaingia popote tunapoamua kwa hiyo tuishi maisha yetu ya kawaida mambo ya vyama visitusumbue.
 
Naona hata jana nchi ilitikisika kwa mkutano wa CHAUMMA!
 
Kuna Uzi niliwai kuupitia humu kwamba kuna waziri fulan msaafu akilalamika kwamba serikali ya jembe letu kipenzi chetu aimjari sasa inawezekana huyo mzee akachukuwa mahamuzi magumu mjomba labda sio tetesi inaweza ikawa kweli
 
Kama sio Membe au Mwandosya sijui...

I think the same way..
Ila waondoke tu hawana effect.. Hao hawaridhiki wameshakuwa ktk madaraka almost 90% ya maisha yao still wanahangaika tu... Waende zao huko.. CCM aliondoka Mh. Lowassa na alikuwa HEAVY WEIGHT KABISA NDANI YA CCM na CCM ilibaki imara.. Sembuse hao..

Let's them leave.. Wanachelewa plse
 
Msigeuze majengo yao kuwa vifusi au kuwapigia simu za vitisho !!!
 
I think the same way..
Ila waondoke tu hawana effect.. Hao hawaridhiki wameshakuwa ktk madaraka almost 90% ya maisha yao still wanahangaika tu... Waende zao huko.. CCM aliondoka Mh. Lowassa na alikuwa HEAVY WEIGHT KABISA NDANI YA CCM na CCM ilibaki imara.. Sembuse hao..

Let's them leave.. Wanachelewa plse
Hivi ccm imebaki kweli kwa unavyoona wewe ?
 
Acha uchiz anahama ancle Magu au mshapata kikongwe mwingine? Maana makamanda wenu cku hizi ni akina kingunge!!!
 
wajiondoe waone kama hawatafuatiliwa na kufikishwa mahakamani
 
Kuhama kwao kuna effect kwenye bei ya unga? if no Wahame tu.
tofauti na pale mwenyekiti wenu anapotoa pesa za wananchi kununua wapinzani ndo effect zipo.............
halafu bila wasi badala ya kwenda nao lumumba anawaaalika ikulu hahaha
 
Back
Top Bottom