Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Ha kumbe tetesi hata messi ilikuwa tetesi kuwa anasajiriwa na chelsea halau hakusajiliwa kwan nani alijali neymar alipokihama Barc? Kikosi bora kabisa
 
Ha kumbe tetesi hata messi ilikuwa tetesi kuwa anasajiriwa na chelsea halau hakusajiliwa kwan nani alijali neymar alipokihama Barc? Kikosi bora kabisa
....
.....tetesi? Njoo chuga ujionee maandalizi
 
Habari zilizotufikia hivi punde

Kuna kiongozi moja aliyewai kushika nyazifa za juu kabisa kwenye chama na nchi anakihama chama cha mapinduzi CCM kwa kutoridhika na uongozi na nchi inavyokwenda kwa sasa kwa habari zaidi nitaendelea kuzileta hapa

Mwanahabari Huru
Mheshimiwa LOWASSA alikuwa mkubwa ndani ya Chama na alidiriki hata kukiweka chama cha Mapinduzi mfukoni mwake.... Zaidi ya hapo hakuna mwingine mkubwa labda hawa waliokatwa mikia... Wacha waende. UKAWA MLIKUWA MNATUFUATA NYUMA MNASUBIRI MKONO UDONDOKE MSHAMBULIE kama Fisi. Tuliingia kwenye mkutano mkuu tukiwa Team mbili lakini tulivyotoka tu tukiwa wamoja tena na kuwaacha UKIWA wakiambulia Oil chafu au Makapi.....
 
...
...unaanza kulia wakati kipenga bado
 
Natamani ifike leo nisikie mie hizo habari za huyo kiongozi
 
nchi..inatikisika,vp?..tuache..siasa..mbona..hizo,mambo..tushazoea.na..wote..wanaohama..vyama..vyao..
hawajaleta,wala..hawatoleta..tofauti,wala..mabadiliko..yoyote.
 
Jana nilimuona A Town na MH.LEMA nikajiuliza na nikamuliza Mh lema vipi huyu kiongozi wa ccm anatafuta nini lema kanikonyeza na kusema kamanda kaja kujisajili.

Swissme
Kama vile namuona le mutuz linavyojamba na shogaake bashite yalivyokumbatiana.
 
Back
Top Bottom