Tetesi: Wiki ijayo nchi kutikisika, mtu mkubwa sana kukihama Chama cha Mapinduzi

Wala si ajabu. Waliisha hama akina ENL na FTS atakuwa huyo? After all ni haki yake
 
Chadema bado hamjajifunza? Endeleeni kushangilia nyie haya.........
 
Hata mimi nimesikia hilo.tusubiri tuone.
 
Bado nchi haijatikisika mpaka leo, au yalikuwa ni magirini yako tu?
 
Kumpokea Membe ni ujinga na literally equivalent to pilitical suicide. He is not worth the baggage he will bring.
 

Tatizo ndugu zetuikitokea hivyo watasema kahama kwa hiari yake.. hajanunuliwa ila wakiondoka wabunge ambao tayari wanalipwa fedha nyingi tu wanaambiwa wamenunuliwa.. mdogo wangu mmoja aliwahi kuniambia kuwa wanasiasa wetu hawana principles... huyo huyo anayehama leo miezi michache baadaye atarudi na hadithi nyingine...
 
Salim?
 
Andiko la Desemba 9 leo ni Desemba 20, hiyo wiki ijayo haifiki tu? Iga ufe.
 
Wewe Malaya wa Ughaibuni nadhani umepata jibu juzi Dodoma
Kwa kuwa Mama yako Alikupata kwa Kuuza Na Kupanua Miguu yake Kwa Wabeba Magunia neno hilo umeshaona Ni la kuita Kila Mtu! Wewe unajua Wazi nakujua na ulipokuwa shule Ulitumia Jina la Babu yako kwa kuwa Mama yako kahaba hakujua wewe baba yako alikuwa nani, The hell alikuwa wakati mwingine akilala na Wanaume zaidi ya Kumi kwa siku. By the way bado uko Temeke?
 
Peleka funza wako shimoni
 
Bado nchi haijatikisika mpaka leo, au yalikuwa ni magirini yako tu?
Huyu naye na miuongo yake anazidi kupigilia misumari katika kuangusha upinzani hapa tanzania! Mpinzani wa kweli hatoi jambo kwa kadamnasi bila kuwa na uhakika
 
Kwa sasa ni mjinga tu anayeweza kuhama chama cha mapinduzi maana kwa kuhamia hakuna!!
 
Kama ni Mzee Malecela, hiyo aina impact kubwa kwa Chama (CCM)..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…