Kunyweni Amani mkuu!Dah ishakuwa mtihani kwakweli,maji ya chumvi yanatupausha ....hakuna namna
Week ya pili sasa tuna taabika,Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
Ndio nashushia AMANI na coca-cola baridi hapaKunyweni Amani mkuu!