J July 77 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 3,200 Reaction score 4,556 Dec 11, 2025 #1 Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
Dah ishakuwa mtihani kwakweli, maji ya chumvi yanatupausha, hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika, Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah
TUKANA UONE JF-Expert Member Joined Jan 3, 2018 Posts 2,864 Reaction score 8,706 Dec 11, 2025 #2 Kalemba said: Dah ishakuwa mtihani kwakweli,maji ya chumvi yanatupausha ....hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika,Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah Click to expand... Kunyweni Amani mkuu!
Kalemba said: Dah ishakuwa mtihani kwakweli,maji ya chumvi yanatupausha ....hakuna namna Week ya pili sasa tuna taabika,Kukosa hivi visima kwenye misikiti sijui ingekuwaje walah Click to expand... Kunyweni Amani mkuu!
J July 77 JF-Expert Member Joined Nov 5, 2024 Posts 3,200 Reaction score 4,556 Dec 11, 2025 Thread starter #3 TUKANA UONE said: Kunyweni Amani mkuu! Click to expand... Ndio nashushia AMANI na coca-cola baridi hapa
TUKANA UONE said: Kunyweni Amani mkuu! Click to expand... Ndio nashushia AMANI na coca-cola baridi hapa
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Dec 11, 2025 #4 Lawama zote hizi wapewe mbogamboga.