Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaimba Taarabu huyo USA ni mziki mneneMarekani Pia imepigwa mara nyingi sana pale pale kwao so hii ni tukio ambalo Russia itadeal nalo vizuri na bahati Nzuri Putin ameshasema wote waliopanga, kuratibu na kufadhili watakabiliwa vikali sana...
Never ever!Ni lini sisi watanganyika tutafikia upeo wa USA?
Kizimkazi anatuponza sana.
Ndiyo.Ina maan CIA ni wamba kuliko FSB/KGB!!
Huwezi ku argue point counterpoint ndo maana umekimbilia kunyooshea kidole lugha!We andika ma vocabulary yakutosha ila mchezo umeshaeleweka
Nyie subirini marafiki wa Putin, Iran na washirika wake waanze kuwapelekea moto................mmefanya tukio kizembe sana nyie ni viaziHuwezi ku argue point counterpoint ndo maana umekimbilia kunyooshea kidole lugha!
Yes, CIA wana resources ndefu!Haha wabongo na conspiracy zao,hivi wanawachukulia urusi poa kama vile hawajui tofauti kati kitu Cha kupangwa na cha ukweli. Ile Alert ya marekani mi mwenyewe nimekubali CIA ni noma,urusi wenyewe wanaelewa CIA ni noma ndio maana walibisha kisiasa tu ila walikua wanajua tulip lazima litokee. Putin ni ex KGB lakini anaelewa extensive network na resources CIA wanayo.
Wishful thinking.Nyie subirini marafiki wa Putin, Iran na washirika wake waanze kuwapelekea moto................mmefanya tukio kizembe sana nyie ni viazi
Hepi besdei make a wish bi@chWishful thinking.
Na yakatimia kweli! Intelligence ya Marekani ni habari ingine kabisa.
But that doesn’t mean it’s foolproof
View: https://youtu.be/M665-CETLH4?si=X_wFcE6FcXOZJAI6
Hii hapa habari kutoka New York Post, ya tarehe 8 mwezi huu.
![]()
US warns of likely ‘imminent’ terror attack in Moscow after ISIS thwarted from synagogue massacre
The alert said Americans in Moscow should avoid concerts and crowds.nypost.com
View attachment 2942687
US huandaa haya matukio na kujifanya kutoa Security Alert mbona kule kwao watu huuwawa kwa mamia huwa hawaoni hizo alert?? ukijua system za ile nchi zinavyofadhili mauaji duniani humu utakaa chini uzimie..Ile Nchi ni jambazi No 1 hatari.
Marekani haijawahi kutoa security alert ndani ya mipaka yake? Una uhakika kabisa?
Makundi yao hayoIna maan CIA ni wamba kuliko FSB/KGB!!
Mtafikaje wakati mnaweka tahasusi za dini?Ni lini sisi watanganyika tutafikia upeo wa USA?
Kizimkazi anatuponza sana.
Sikumbuki ila ni miaka ya nyuma kidogoLini?
bwege mmoja kijiwe cha kahawa kama wewe.wanakutengenezea teknolojia hata ukiambiwa fikiria kiberiti uwezi alafu unakuja kuongea US inapanga. ile inawatu wanaojitambua na IQ kubwa sio wewe unayekandamizwa na ccm njaa imekujaa mpaka utumbo mpana.US huandaa haya matukio na kujifanya kutoa Security Alert mbona kule kwao watu huuwawa kwa mamia huwa hawaoni hizo alert?? ukijua system za ile nchi zinavyofadhili mauaji duniani humu utakaa chini uzimie..Ile Nchi ni jambazi No 1 hatari.
Miaka 10 utasikia ukweli ukisemwaIla, kama ilivyo ada ya wapinzani, hilo onyo la Marekani halikutiliwa maanani.