Wiki mbili zitanitosha kujua gari?

Wiki mbili zitanitosha kujua gari?

Gar mbona hata nikikulekeza hapa unachkua tu ufunguo unaendesha gar,mm mara ya kwnz naendsha gar baba alikuwa anaumwa hawez kuendsha alinipa tu maelekezo kwa mdm kila kitu kijana nkawasha gari nikatembea

JF raha sana.
 
Week mbili zinatosha kbsaa..mm nilijifunza kwa week mbili Lumumba driving school tena gari manual. Chamsingi ni kufanya mazoez na kuzijua sheria za barabara
 
Mimi nilijifunza siku 2 auto.

Sheria nlikua nazisomea nyumbani.
 
Naomba kujua kama Kuna App nzuri Kwa ajili ya kujifunza gari..

Kama haipo nigonge code fasta
 
Ina ugumu gani (hasa kwa sisi wanawake? )Ni mentality mbaya tu za watu,kuna wanawake wako viwandani wanaesha mitambo mikubwa seuze gari ya manual?

Kwa mwanamke kujua gari tena Manual labda awe na knowledge ya ufundi kidogo kujua kuwa Manual lina operate vipi. Sina maana mbaya lakini hata kwa wanaume kujua manual kwa wiki mbili pekee sio rahisi ndugu.
Manual ni habari nyingine na wengi wanaikimbia
 
Ndio nilijifunzia ndio maana sioni kama ni ngumu kama wadau wanavyohisi.
 
Back
Top Bottom