Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Dhambi ya uuaji huwa ni kama kama mchawi tu akianza kula nyama za watu kuna wakati ataua hata watoto wake. Tunapowaambia watu hawa wanaojipendekeza kwa Serikali kuwa watanzania hawapo salama wanadhani wao hawataguswa.
Kama ungemwambia huyo MC Kipilipili kuwa yaliyomkuta Ungo ni Kibeku yatamkuta. Angebisha kabisa kwa kusema yeye yupo salama sababu ni kada. Wanauawa wasio wana CCM tu. Angepost picha zake akiwa amevaa zile nguo na viongozi wa chama.
Kumbe anasahau kuwa mule mule kwenye chama nako watu watapata nafasi ya kudhuriana kwa kuwa ni jambo ambalo wameshazoea na wanaona ndo ufumbuzi wa kila tatizo lao. Kuua tu wasioelewana nao. Tunawajulisha kuwa bado, safari bado. Msidhani mmefika. Safari bado sana.