Wiki moja tu ya mikutano ya CCM wamechanganyikiwa na kupata mfadhaiko wa kisiasa.

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
7,748
Reaction score
10,288
Chadema wawe makinini sana kila wanapoenda kufanya mikutano.

Maana imeonekana wanaCCM wamechanganyikwa na sasa hawapati usingizi.

Ulinzi uimarishwe maana kama wameanza kukata watu mapanga msishangae wakachoma magari ya Chadema kama kule Chato.

Kama wiki moja tu wamechanganyikiwq hivi je baada ya mwaka itakuwaje?
 
pwagu anawapotosha mapwaguzi kindezi kabisa, dah 🤣
 
1779633844049.jpg
1779633846661.jpg
1779633840912.jpg
 
Back
Top Bottom